Kuhusu Msiba wa Ummi Mustafa

Ndugu wanashirikisho.
Kwa majonzi makubwa sana tunasikitika kutangaza kifo cha mwanachama mwenzetu, Ummi Mustafa kilichotokea tarehe 11/07/2024 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, Tanzania.

Mazishi ya marehemu yalifanyika tarehe 12/07/2024 katika makaburi ya Tabata Chama, Dar es Salaam. Dua ya Marehemu ilifanyika Milton Keynes tarehe 20/07/2024.

Marehemu alikuwa anaishi kwenye anuani hii, 41 Felbridge, Kent Hill, Milton Keynes. MK7 6HB. UK Marehemu alijiunga kwenye shirikisho tarehe 22/01/2024 na kupata namba ya uanachama 3281.

Payment /Malipo :

Make your payment to this account. / Fanya malipo yako kwenye akaunti hii.

Amount: £3.50

Account Name: Amina Khalid Suleman
Account Number: 91283101
Sort Code: 04-00-04
Bank: Monzo